WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Watu wa songea manispaa karibuni kwenu, nataka rudi Mbeya jiji, au Mbeya vijijini, karibuni sana, kama upo tayari nicheki kwa namba hii hapa 0765656144
 
mwl yupo bukoba vjijini,anataka kwenda mikoa ya shinyanga,simiyu au manyara,idara sekondari!
0769027920/0656803210
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
Njoo kibaha karibu na morogoro na dsm mm nije arusha...ni pm kma utaridhia
 
kwa anaetaka kwenda shule ya msingi tulini mkoa wa pwani kutoka temeke dar wasiliana nami kwa namba 0714599755
 
watu wa TANGA kilindi mje kwenu nije kwetu RUVUMA songea au MBINGA...hata njombe au iringa au mbeya SIO MBAYAAA..... idara sec....wasiliana kwa 0686 973 854
 
kwa anaetaka kwenda shule ya msingi tulini mkoa wa pwani kutoka temeke dar wasiliana nami kwa namba 0714599755
Dah nimeitafuta sana hii nafasi ya kurudi pwani tena hapohapo shule ya msingi Tuliani ndo karibu na masikani, ngoja nikupigie faster mkuu.
 
Back
Top Bottom