WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo songea manispaaa...idara ya sec...nije dsm au kibaha nicheki kwenye 0714482484...zawadi ya tsh...laki tatu na zaidi itatolewa pia kwa atakae kuwa tayari
 
njoo magu mwanza nije iringa,moro au mbeya idara elimu sek. serious interested ni pm
 
njoo arusha longido nije morogoro, iringa au mbeya, idara secondary. 0787 055538 au 0713386913
 
Naomba kujua aliehama halafu halmashauri unayotoka kumuondoa kwenye orodha ya waliohama hali ya kuwa amekamilisha kila hatua.

umechukua hatua gani??
 
Natafuta wa kubadilishana nae.....aje SONGEA MANISPAA.... Hawe anatoka dsm au kibaha.....zawadi pia itatolewa kwa atakae patikana...idara ya sec....check me on 0714482484
 
Mwl Happiness bwele wa shule ya msingi kimiza wilaya ya karagwe..mkoa wa bukoba anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Songea,Morogoro,kibaha na dsm...wasiliana nae kwa no...0714482484
 
Kwa mtu aliye tayari kuja Maswa mjini mkoa wa Simiyu, mimi nije Mtwara mjini au vijijini idara Secondary anifind kwa 0659571785 au 0685678982. Aliye tayari ataachiwa vitu vyote nilivyonavyo huku.
 
ACHA KUKATISHA WATU TAMAA WEE kijana.......kwani moro ni peponi adi watu wasihame ?....jamani TUSIKATE TAMAA tutafaniwa tuuu MUNGU MWEMA...mwomba Mungu HAKOSI FUNGU LAKE
 
Watu wa Songea mlioko dar na pwani....Songea manispaa ni pazuri sana lakini nataka kurudi kwetu....idara ya sec...0714484284
 
Back
Top Bottom