Augustine John Peter
Member
- Nov 26, 2015
- 9
- 4
Njoo kibaha karibu na morogoro na dsm mm nije arusha...ni pm kma utaridhiaoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
😎woyeeeWalimu oyeeee
WE WA maposeni njoo Tanga kilindi hapa DSM NA MORO ni kugusa tu upo ndani ya jijinjoo peramiho maposeni high school nine dar
Dah nimeitafuta sana hii nafasi ya kurudi pwani tena hapohapo shule ya msingi Tuliani ndo karibu na masikani, ngoja nikupigie faster mkuu.kwa anaetaka kwenda shule ya msingi tulini mkoa wa pwani kutoka temeke dar wasiliana nami kwa namba 0714599755