Kuna mtu yuko mbeya ndugu anahitaji mwanza xo nicheki ntakuunganisha nae.Niko mwanza kwimba nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyeko; njombe, iringa, moro, mbeya au ruvuma, idara ni sekondari, lengo ni kuwa jirani na nyumbani. Kwa aliye tayari ani PM au kama una information tujuzane pm.
Nicheki namba hii nna mtu 0762701318njoo Mwanza nije mbeya,njombe au morogoro
idara sec
Arusha huwezi?Mwl ANGELILE idara msingi yupo MBEYA-RUNGWE anatafuta mwl mwenzake wakubalishana nae kutoka TANGA-HANDENI.
No:0685416473
njoo mwanza jiji Mwl nije ilalaMwalimu wa Sekondari anataka kuja Manispaa ya Tabora Mjini kama wewe upo tayari kwenda Manispaa ya Ilala Dar Es Salaam. Mawasiliano Piga simu, SMS, AU WhatsApp no.0784 802 215
Nipe namba cz kuna mtu anahitajinjooni mwanza-kwimba nije mbeya, moro au iringa. secondary
Njoo mwanza nije DSM maana utakuwa jirani na TaboraN
njoo mwanza jiji Mwl nije ilala
Idara ganmwl aliyepo arusha mjn anataka kurud green city mbeya anichek nimuunganishe fasta.. 0762225280
I mean sekondari au msingi?Idara gan
Mwanza nipo secondaryI mean sekondari au msingi?
0757248589 unaruhusiwa kupiga muda wowote[/QUOTE
, nishaipata kesho ntakupigia kuna mtu anauhitaji sana