kuna mwalimu sekondari yupo wilaya ya kilindi tanga anahitaji kuhamia kwao nyanda za kusini ikiwemo mbeya iringa Njombe ruvuma wasiliana nae kwa 0768 766 457
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007
 
Mimi mwl idara ya msingi nipo Mkoani Dodoma Wilaya ya Chemba natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje huku mm niende 1:Mkinga mkoani Tanga 2:Chalinze mkoani Pwan 3:Korogwe mkoani Tanga 4:Tanga vivijini au mjini Alkua tayari tunaftane kupitia mawasilno yafutayo 0742101020. Au kupitia email fkambeka@gmail.com
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Kwa anae taka kubadilishana kituo cha kazi idara sec basi njoo Tanga mjn, mimi nije Kibaha popote pale km town au kibaha Vijijini
Ni PM km upo tayari
 
KUna Mtu wangu yupo wilaya ya Ifakara....kwa aliyepo misungwi na mwanza...(elimu sekondari)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…