martin kadenge
Member
- Dec 29, 2015
- 89
- 1
Mawasiliano ni 0629464247
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo sumbawanga huyo wa iramba mwambie antafte 0763 240 278Mwalimu nenda
-KILOLO IRINGA aje MAKAMBAKO/NJOMBE/WANGING'OMBE.
Nenda IRAMBA SINGIDA aje wilaya yoyote mikoa ya IRINGA/NJOMBE/MBEYA/SONGEA.
Ni PM niwaunganishe.
Nipo wilaya mpya ya kalambo...0763 240 278Mq
mr ibu vp c uje maeneo ya sumbawanga...
wilaya mpya ya kalambo 0763 240 278vp upo sumbawanga sehem gan?
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums