WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wadau natafuta mwalimu wa kubadilishana nae mim nipo ruvuma, wilaya ya songea-madaba nataka niende sikonge, Tabora. Mwenye kukubali tuwasiliane 0783384201
 
Ndugu mwl ungana na walimu wenzio ktk group lenu namba 7 mcheki adimin 0768948179 tafar tuma msg watsap sio za kawaida hazitajibiwa
Vigezo na masharti yazingatie

Karibu
 
Mwl yupo rukwa anatafuta wa kubadilishana idara mcng anataka kwenda
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
0689976850
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
Singida(m)
0653 351265
0785 077035
0753 629314
Idara ya msingi
 
Njoo Sengerema -Mwanza
Nije Arusha halmashauri yoyote...
0655880157
 
mwalimu njoo MASWA nije mbeya wilaya yoyotee idara ya secondari 0756945368
 
Back
Top Bottom