Peter Lewandowski
Member
- Jun 10, 2013
- 91
- 6
sogea sumbawanga ni karibu na iringanaitwa Ngwaya, ni Mwl wa shule ya sekondari mnazi halimashaur ya lushoto/tanga nahtaj kubadlshana ktuo cha kaz na Mwl yeyote, yy aje lushoto mm niende IRINGA au MBEYA, lakn irnga km atakuepo wa irnga ni bora zaid sababu nahtaj nwe karbu na familia yngu kwan tsd no ninayo, lakn kubadlshana ktuo cha kaz cha msng au kigezo kikubwa uwe na
chek no.karbun lushoto
Wewe upo wapi?Unataka kwenda wapi???