Haupo lbd hapa bongo kwenuHiv huu mfumo wa kubadlishana vituo kwa walimu na nchi nyingine upo?
lndugu njoo taboraMwalimu Idara ya Sekondari nipo KILIMANJARO nahitaji kubadilishana nije IRINGA, NJOMBE, MBEYA au MOROGORO.
Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
njoo tabora aje babati mkuu ni pm kama upo tayarNjoo Babati mjini, mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0765185975
Mwalimu anayetaka kubadilishana, aje wilaya ya IGUNGA mm nije Mikoa ya Morogoro Pwani, Dar es Salaam,Tanga.