WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wabena mliopo songea mje kwenu njombe mpande miti na viazi mimi nije huko songea mawasiliano no 0718901909
 
mwalimu nipo maswa mkoa wa simiyu nahitaji wa kubadilishana naye kituo cha kazi katika mikoa ifuatayo
mbeya
njombe
iringa
sumbawanga
 
ndugu njoo tabora bhasi aje kilimanjaro kama utakuwa taya
Mwalimu Idara ya Sekondari nipo KILIMANJARO nahitaji kubadilishana nije IRINGA, NJOMBE, MBEYA au MOROGORO.
Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
lndugu njoo tabora
 
Mimi mwalimu wa sekondari arusha monduli natafuta mwalimu wa kutoka dar aje arusha 0763149017
 
Mwalimu njoo Tukuyu mjini-halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mimi nije Dar es salaam au Pwani.
Idara msingi
Mawasiliano 0717629898
 
Back
Top Bottom