Njoo ulanga mkoa wa morogoro shule ipo karibu kabisa na mjini ifakara yeye aje dar es salaam, arusha jiji au babati mjini. Idara sekondari. Uliye tayari mawasiliano 0629256810
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo MAGU MJINI ninataka wa kubadilisha nae niende GEITA aje MAGU. Namba zangu 0756887831. Au ani pm tuwasiliane au anipigie