Mimi ni mwalimu wilaya ya Meatu idara ya sekondari nahitaji Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Meatu mko wa simiyu na mi nihamie wilaya ya rombo mkoa wa Kilimanjaro yeyote anaehitaji tuwasiliane 0769171193
NJOO MINAKI SEKONDARI (KISARAWE-PWANI) NIJE MWANZA JIJI (ILEMELA AU NYAMAGANA)...SHULE IPO MAZINGIRA MAZURI NA NI A-LEVEL TU (BOYS) KWA MAWASILIANO NICHEKI 0756 555595 AU 0715 005595.