WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu nipo maswa mkoa wa simiyu nataka mtu wa kubadilishana naye katika mikoa ifuatayo
MBEYA
NJOMBE
NA SUMBAWANGA
IDARA SEC contact 0756945368
 
Njoo
Ngara-kagera nije
Singida mji
, manyara,
arusha,
kilimanjaro au kahama idara sec
Nicheki 0788709575
 
Njoo Lindi manispaa/Lindi mjini nije kibiti,mkuranga,kibaha,bagamoyo,dar,Moro,
,ruvu.
idara sekondari,
contacts:0655913435
 
Njoo ruvuma mm nije iringa mjini;mafinga .njombe au Mbeya jiji.idara ya sec
 
Njoo ruvuma nije Mbeya mjini njombe mjin au iringa manispaa idara ya sec 0788014921
 
ndg kama yupo mwalimu yeyoye wa msingi aliyepo halmashauri zifuatazo
1.Ngorongoro
2.arumeru
3.karatu
4.longido
5.monduli
6.Arusha jiji.
Kama yupo anahitaji kwenda manispaa ya Musoma (musoma mjini)
Tafadhali piga 0755549602.
Asanteni sana.
 
Kwa mwl aliyepo wilaya yoyote mkoa wa arusha (msingi) na anahitaji kwenda manispaa ya musoma anitafute tafadhali kuna mtu wa kubadilishana naye.0755549602
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Njoo Katavi - Mlele nije Iringa au Njombe wilaya yeyote( Idara ya msingi)

Njoo Njombe Vijijini nije Iringa - Kilolo(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Mbeya (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654/0767-425007
 
Mimi mwalimu wa shule ya sekondari iliyoko Wilaya ya Mbozi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Mbozi mimi niende Halmashauri ya jiji la Mbeya au Mbeya vijijini.

Nina miaka minnne kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pm :
 
Nipo tabora wilaya ya kaliua karibu kbsa name kigoma nauli(16elfu) mwanza nauli 20 elfu aliyepo Tatar tubadilishne kutoke morogoro moshi arusha dar Dodoma mini namba 0756486591
 
Nipo tabora wilaya ya kaliua karibu na kigoma nauli(16elf) na pia mwanza nauli(20elfu) kahama nauli(10elfu) aliye tayar tuwasiliane nije Dodoma mjini ,arusha,moshi vijijini,morogora au dar es laam mawasiliano 0756486591 idara ya MSI GI na ssecondary
 
Mwalimu njoo halmashauri ya wilaya ya Rungwe-Tukuyu mjini(mbeya) idara ya msingi nije Dar es salaam au Pwani.
Mawasiliano 0717629898
 
Back
Top Bottom