WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu Njoo Singida Nami Nije Arusha wilaya yoyote....

Idara Secondari 0769591585 Muda ndio huu jamani tuharakishe tuhame mwezi wa 6
 
Mwl wa shule ya sekondari nyakato-bukoba anataka kwenda mwanza(ilemela,misungwi na magu) au arusha (arusha dc,meru na monduli) .namba zake 0755 357462 & 0787 289647
 
Nipo kigoma mjini,nataka kwenda kati ya morogoro,mjini,mvomero,cngida mjini,kibaha,dar,kisarawe,Tanga mjini
 
Njoo Arusha DC mm nije MOROGORO manispaa.idara sekondari.nafundisha ILBORU sec.0658221998,0764776655
 
Back
Top Bottom