WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, monduli, arumeru, meru, namanga, moshi vijjni, hai, siha, boma, kibaha, chalinze, mlandizi, or dar es salaam idr mcngi 0764910615
 
Njo mbulu manyara nije arusha jiji., dc, monduli, arumeru, meru, namanga, moshi vijjni, hai, siha, boma, kibaha, chalinze, mlandizi or dar es salaam idr mcngi 0764910615
 
Njoo msalala shinyanga nije tanga jiji, korogwe au moshi mji idara ya secondary 0687329886
 
njoo moro nije rufiji,mkuranga,kibaha,dar,utete,bagamoyo sekondari 0716171114,0767292827,0784938864
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
MWALIMU TUBADILISHANE TAFADHARI, NJOO SINGIDA IRAMBA NIJE CHUNYA MBEYA JAMANIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0683172927
 
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0683172927
 
Back
Top Bottom