WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo iringa nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Njoo tunduru mjini mkoan ruvuma mm nije njombe au mafinga au Makambako .idara ya elimu secondary 0788014921
 
Wadau natafuta walimu wakubadilishana vituo npo tabora manispaa natafuta MTU wa kubadilishana nae kutoka wilaya za mbeya , mbalali, rungwe, kyela, mbozi, makambako, mafinga mawasiliano 0754019061 idara sekondari
 
Njoo kigoma manispaa yeye aje Mbeya (wilaya yoyote), morogoro au njombe, simu 0766724329
 
AIdara ya sekondari,anayetaka kuja manispaa ya kigoma,mi niende manispaa ya Tanga.0757255990
 
Njoo tanga jiji nije Morogoro manispaaa (Idara sekondari), tapeli kaa chonjo muda mbaya huu , 0715429847
 
Nipo Simiyu-meatu.Nahitaj Mwlm Wa Kubadilishana Idara Ya Sec. Toka Tabora,shinyanga,kahama,geita,magu,mwanza,kibondo,kigoma 0764818941
 
Back
Top Bottom