WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo sumbawanga nije dar es salaam wilaya yoyote au morogoro, au mbeya au dodoma! Idara secondary nicheck kwa 0752279711 au 0658279711
 
Njoo Msoma mjini nije Pwani, Bagamoyo, Morogoro mjini, Dar au kisarawe idara Secondari
Piga 0757347907
 
Njoo Pwani Mafia
Nije
IRINGA
MOROGORO
TANGA
DODOMA
DAR ES SALAAM
Idara Msingi
0712344257
wahi nafasi inakushindani mkubwa
Ntakapopapenda ndo ntaenda
 
Njoo Arusha DC nije Tanga mjini idara sekondari. Nipo shule ya town kabisa inaitwa Oldadai Secondary.
 
Njoo Geita nije Musoma manispaa, Mwanza nyamagana au Ilemela, Shinyanga Manispaa, Kigoma manispaa, Morogoro au Dar idala ya sekondary
 
Wabena muje huku kwenu Njombe mm nirudi Kilimanjaro kwetu daaah 0759007829
 
Mwalimu njoo Rungwe- mbeya (Tukuyu mjini)nije pwani au Dar es salaam
Idara msingi
Mawasiliano 0717629898
 
Mwalimu njoo Rungwe- mbeya (Tukuyu mjini)nije pwani au Dar es salaam
Idara msingi
Mawasiliano 0717629898
 
Mimi ni mwalimu wilaya ya Meatu idara ya sekondari nahitaji Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Meatu mko wa simiyu na mi nihamie wilaya ya rombo mkoa wa Kilimanjaro yeyote anaehitaji tuwasiliane 0769171193
 
NJOO MINAKI SEKONDARI (KISARAWE-PWANI) NIJE MWANZA JIJI (ILEMELA AU NYAMAGANA)...SHULE IPO MAZINGIRA MAZURI NA NI A-LEVEL TU (BOYS) KWA MAWASILIANO NICHEKI 0756 555595 AU 0715 005595.
 
Mimi ni mwalimu wilaya ya Meatu idara ya sekondari nahitaji Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Meatu mko wa simiyu na mi nihamie wilaya ya rombo mkoa wa Kilimanjaro yeyote anaehitaji tuwasiliane 0769171193
 
MWL yupo Rukwa anatafuta wa kubadilishana na walimu waliopo mikoa ya
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Idara mcng
0689976850
 
Back
Top Bottom