Kwa mwl aliyepo wilaya yoyote mkoa wa arusha (msingi) na anahitaji kwenda manispaa ya musoma anitafute tafadhali kuna mtu wa kubadilishana naye.0755549602
Mimi mwalimu wa shule ya sekondari iliyoko Wilaya ya Mbozi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Mbozi mimi niende Halmashauri ya jiji la Mbeya au Mbeya vijijini.
Nina miaka minnne kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pm :
Nipo tabora wilaya ya kaliua karibu kbsa name kigoma nauli(16elfu) mwanza nauli 20 elfu aliyepo Tatar tubadilishne kutoke morogoro moshi arusha dar Dodoma mini namba 0756486591
Nipo tabora wilaya ya kaliua karibu na kigoma nauli(16elf) na pia mwanza nauli(20elfu) kahama nauli(10elfu) aliye tayar tuwasiliane nije Dodoma mjini ,arusha,moshi vijijini,morogora au dar es laam mawasiliano 0756486591 idara ya MSI GI na ssecondary