WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo tarime mara,nije misungwi,nyamagana,ilemela au magu,idara ya sec.0767361392
 
Puuza Hiyo Habari.

Kunataarifa zinaenezwa kuwa nimekataa kuhamia moro town,kibaha au Dar.jaman puuzen kikubwa kama upo hayo maeneo nitafute uhamie Tanga jiji.sec.call me
0713142568
 
Njoo kagera biharamulo nije arusha au tanga wilaya yoyote!
Idara ya sec 0764841249
 
NIPO ILALA YEYOTE ANAYETAKA TUBADILISHANE, MIMI NIENDE HALMASHAURI YEYOTE TZ(JIJI SITAKI)
 
Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka dar es salaam wilaya yoyote yeye aje sumbawanga mjini.
Aliyetayali awasiliane nami kwa namba 0752279711 au 0658279711 idara secondary
 
Aliyetayali awasiliane nami kwa namba 0752279711 au 0658279711
 
Njoo iringa(kilolo) nije mikoa ya pwani-kibaha, mkuranga, bagamoyo or morogoro mjini kasoro idara sec follow me 0759053837
 
Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka dar es salaam wilaya yoyote yeye aje sumbawanga mjini.
Aliyetayali awasiliane nami kwa namba 0752279711 au 0658279711 idara secondary
Aje iringa kama yupo tayari contact 0759053837
 
Puuza Hiyo Habari.

Kunataarifa zinaenezwa kuwa nimekataa kuhamia moro town,kibaha au Dar.jaman puuzen kikubwa kama upo hayo maeneo nitafute uhamie Tanga jiji.sec.call me
0713142568
 
Cheza Bahat Nasibu

Jaribu kuniconect na mwalimu aliyepo Dar,Kibaha au Moro town aje Tanga jijiiii.zen waweza jishindia zawad adimu toka kwangu. sec.call0713142568
 
Back
Top Bottom