Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanzaTu
po kiongoz upo wap tubadilishane me nipo Moro DC
Niatafute Mkuu,Mimi nipo aisee natafuta wa kubadilishana nahitaji mtu wa kutoka Morogoro manispaa au hata wilaya ya mvomero akipatikana tuanze mchakato nipo manispaa idara ya ya sekondari
Hai sehemu gani Mkuu!!Njoo hai NIJE mbeya
naomba uje kakonko pia ni kigoma kama vp nicheck kwa 0782468003Kama upo Kigoma mjini, Kigoma vijijini, Mwanza au Bukoba mjini tafadhari Njoo Tanga karibu kabisa na Dar, hapa amani ipo ya kutosha kabisa.. Tuwahi ajira mpya mwezi wa saba mtu wangu.
VIP LINDI LIWALE MASASI SH 6ELF,0767361392Njo sengerema, nije masasi. Sekondari, nicheki kwa 0716299698.