Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Njoo liwale lindi,0767361392Anayetaka kuja biharamulo-kagera anipm mradi atokee iringa,Moro,DSM,pwani,mbeya au mtwara.
njoo Mtwara Idara sec 0782906610 nije kageraNjoo liwale lindi,0767361392
Ntwara halmashauri ipi kiongozi?njoo Mtwara Idara sec 0782906610 nije kagera
mtwara Dc karb na manspaaNtwara halmashauri ipi kiongozi?
Kibondo huko ni mbali sana mkuunaomba uje kakonko pia ni kigoma kama vp nicheck kwa 0782468003
Nami nina dada yangu yupo idara ya msingi musoma DC aliyetayari kwenda musoma sharti atokee Tanga,Moro,pwani au daaNjoo halmashauri ya mji tarime, tarime high school, nije Dodoma manispaa, babati manispaa, arusha jiji, morogoro manispaa 0766765231, 0783223216
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Masama Kati mkuuHai sehemu gani Mkuu!!