njoo kwimbaNIPO ILALA YEYOTE ANAYETAKA TUBADILISHANE, MIMI NIENDE HALMASHAURI YEYOTE TZ(JIJI SITAKI)
Njoo lindi liwale nije kigoma.wakuja kigoma niende iringa. sec!
Nipo ilagalaUpo kijiji gani?
karibu kwimba nipmMimi ni Mwalimu wa Sekondari niko manispaa ya Ilala Dar es Salaam.
Natafuta mtu wa jubadilishana naye aliyeko Ilemela Mwanza, yeye aje Manispaa ya Ilala DSM na mimi nihamie Wilaya ya Ilemela Mwanza.
Kwa ambae yupo tayari tuwasiliane kwa simu na. 0754 485 463
Salama kaka ulishapata wa kubadilishana naye mimi nipo same shule ya secondary vumari number yangu ni 0784528641Njoo arusha mimi nije same contact 0787291334 or 0788628489 au nipm.gharama juu yangu ya kuhama.
upo wapi? mimi nipo kwimba-mwanzaMwalmu nsojigwamva,nataka kwenda popote kati 1.mwanza,2.kagera,3.geita,4.kigoma,5.mara 6.simiyu 7.shinyanga,kutoka LINDI LIWALE IDARA YA SEKONDARI,0767361392
Njoo lindi liwale nije musoma.njoo musoma mkuu