WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari niko manispaa ya Ilala Dar es Salaam.
Natafuta mtu wa jubadilishana naye aliyeko Ilemela Mwanza, yeye aje Manispaa ya Ilala DSM na mimi nihamie Wilaya ya Ilemela Mwanza.
Kwa ambae yupo tayari tuwasiliane kwa simu na. 0754 485 463
karibu kwimba nipm
 
Njoo arusha mimi nije same contact 0787291334 or 0788628489 au nipm.gharama juu yangu ya kuhama.
Salama kaka ulishapata wa kubadilishana naye mimi nipo same shule ya secondary vumari number yangu ni 0784528641
 
TUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa MBEYA.
wilaya ya;
1. Mbeya mjini
2. Mbeya vijijini
3. Rungwe
4. Mbozi
5. Busokelo

NJOO UISHI mji mdogo 😳MAHUTA😳
Idara ya sekondari.0759410327{voda} au 0672109757{tigo}.
 
mm ni mwl idara ya sekondari wilaya ya mwanga-kilimanjaro natafuta mtu wa kubadilishana aliyeko korogwe mji. cont pm
 
Njoo kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
 
Njoo kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
 
Njoo kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
 
Njoo kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
 
anaetaka kuja kwimba-mwanza mimi niende mbeya na wilaya zake . 0763243624,0759929861,0788983597
 
Back
Top Bottom