WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Jamani njoo TANDAHIMBA idara secondary nije Mbeya mjini, vijijini, Rungwe, au Njombe, Songea mjini , Iringa na Makambako. No 0687007905
 
Njoo Ngara - kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera mim nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Tukuyu mjini nije Dar es salaam, Kibaha na kisarawe.
Idara msingi
Mawasiliano 0717629898
 
Tanga jiji Tanga jiji

Sec sec
Nije Nije
Dar.moro town au
Kibaha.Dar,moro town
0713142568,
 
NAITWA MWALIMU TEGEMEA DANIEL MWIGONJA. MWALIMU WA SEKONDARI, NAFUNDISHA BARIADI MKOA WA SIMIYU.
NAOMBA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI NA MWALIMU YEYOTE ANAEFUNDISHA WILAYA YOYOTE YA MKOA WA IRINGA.

TUWASILIANE KWA NAMBA ZIFUATAZO;

>0715565641
>0762520209
>0784560125.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI NAFUNDISHA WILAYA YA BARIADI MKOA WA SIMIYU, NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHOCHOTE CHA WILAYA ZA IRINGA.
MAWASILIANO: 0715565641, 0762520209, 0784560125.
 
Back
Top Bottom