C_SHARP_MASTER
Member
- May 12, 2015
- 25
- 4
Njoo ikwiri-rufiji nije morogoro manispaa 0717372313
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kyerwa karibu na bukoba nije tanga idara msingKama Upo Bukoba au Mwanza Njoo Tanga.
Nataka watu serious sio mbwembwe za kuanza kubembelezana.
Kigoma mjini na vijijini pia nichek.
kuna mwalimu yupo mkoa wa simiyu wilaya meatu,ni karibu na manyara na arusha,vipi unahitaji?idara sekondariNjoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
Duh, mimi idara secNjoo kyerwa karibu na bukoba nije tanga idara msing
Nyoosha maelezoKutokea sehem yoyote?
Watu wanahama darMWAj, ni kweli kwa hayo unayoyasema lakini mama kumpata mtu wa kutoka DAR hadi TUKUYU kweeli hiyo nikazi nyingine ya ziada! Mkuu sikukatishi tamaa lakini hata ukilala makaburini kwa mwezi mzima itakuwa ngumu hiyo.
Nitafute nduguKuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.