WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Mliopo Bukoba, na Mwanza mje kwenu Pwani... Hapa Tanga ni karibu na Dar kabisa. Idara Secondary
 
Njoo iringa nije kisarawe bagamoyo rufiji kibaha morogoro town au morogoro dc au mvomero idara sekondari 0653795210 0718145989
 
Njoo Lindi wilaya ya nachingwea Mimi nije
- Morogoro manispaa au Dc
-Dar es salaam wilaya yeyote
-Pwani
Idara ya sekondari
 
Njoo Ngara Kagera, nije singida, manyara, arusha au moshi idara sec, 0768155226
 
Eagle kama upo siliasi njoo misenyi Bukoba nami nije tanga kalibu na home idara secondary au tuwasiliane kwa 0773059410
 
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari, nafundisha wilaya ya Mwanga mkoa Kilimanjaro. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Mkuranga, Temeke, au Kibaha 0657897472, 0769434081.
 
MWALIMU NJOO SINGIDA NIJE ARUSHA WILAYA YOYOTE;
ARUSHA JIJI
ARUSHA VIJIJINI(arusha dc)
MERU DC
au KILIMANJARO,,,TANGA!!
Idara sec,,0769591585
 
Back
Top Bottom