WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari!
0758165769/0712272365
kuna mwalimu yupo mkoa wa simiyu wilaya meatu,ni karibu na manyara na arusha,vipi unahitaji?idara sekondari
 
Natafuta NESI wa kubadilishana kituo cha kaz aje wilaya ya bahi dodoma mm niende kilosa morogoro.
0718412841
 
Njoo Halmashauri ya wilaya ya Geita..... Idara Msingi........... Mimi nije Daressalaam wilaya yoyote Ile au Pwani halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo au halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.

Mawasiliano :
0656004147
0785619141
0764743637
 
Afisa KILIMO Handeni tanga nataka nibadklishane na MTU toka kilolo, iringa mjin au iringa vijijin. contact. 0753235211
 
IDARA MSINGI
NJOO HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA_MKOA WA GEITA
NIJE PWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO AU HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA, AU MKOA WA DARESSALAAM WILAYA YOYOTE
 
Njoo tabora nije
Tunduru
Nanyumbu
Masasi
Namtumbo
Songea mj
Idara ya sec 0787426207
 
Njoo tabora nije
Masasi
Nanyumbu
Tunduru
Namtumbo
Songea mji
Idara ya sec 0787426207
 
Njoo Lushoto tanga idara ya msingi nije Hai-kilimanjaro, Moshi V, Moshi M, Siha, Rombo, Same, Mwanga. 0684533627, 0717690221, 0758121353.
 
Njoo Arusha wilaya Longido nije mbeya, iringa au mkoa mpya wa songwe - mbozi. idara sekondari. 0787 055538
 
Back
Top Bottom