WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natafuta Mwalimu wa Secondary kutoka Dodoma
Manispaa aje Singida manispaa 0763257500
 
Mwalimu wa Secondary Mtawra, Newala anaetaka kubadilishana nae kwenda Mkoa wa Pwani, Kibaha Abu Bagamoyo tuna silane, nataka nikaungane na familia yangu.
 
Mwalimu wa Secondary Mtawra, Newala anaetaka kubadilishana nae kwenda Mkoa wa Pwani, Kibaha au Bagamoyo tuwasiliane kupitia uzi huu au 0714217107, nataka nikaungane na familia yangu.
 
Njoo mbinga ruvuma nije singida manispaa idara sekondari 0765070911
 
Njoo biharamulo nije tabora munispaa, nzega, ,uyui au igunga 0682380652
 
Back
Top Bottom