WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Naitwa mwal Riziki nipo Mara musoma...kwa mwal yeyote aliye tayar tubadilishane mimi nije arusha.. wilaya yoyote tuwasiliane.... hapa kuna umeme. maji. hosp.. na huduma zote za simu....tigo. vodacom. airtel.. zantel..ttcl... tuwasiliane 0712 309003
 
mwalimu anatafuta wa kubadilishana nae yeye yupo mfindi iringa anataka kuhamia pwani wilaya yoyote 0769811711
 
NJOO KIBONDO NIJE IRINGA,MBEYA NA MORO

NJOO IRINGA AJE MBEYA,MORO AU MAKAMBAKO

mawasiliano0754272004
 
Kwa mwl.wa Primary, njoo Halmashauri ya wiliya Shinyanga mie nije Tunduru-Songea.mawasiliano ni 0652186285, 0756045861.
 
Njoo Mtwara, Newala nije mkoa wa Pwani Bagamoyo, Mkulanga au Kibaha, Mwl wa Secondari. Tuwasiliane 0688007371
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0767425007
 
Back
Top Bottom