WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mie ni mwalimu wa sekondari nipo Dodoma. Nataka kuhamia Tarime, Mara
 
mimi mwalimu noel elieza npo Iringa,kilolo idara ya elimu msingi natafuta mwalimu wa kubadilshana kituo cha kaz aliye mkoa wa Dodoma Aliyetayar anichek 0769895375 au 0712895375

kama vip njoo tabora jirani na dodoma nipo mpakani na singida 0765832560
 
Njoo njombe wangingombe dc nije hai mjini boma Moshi, bukoba , shinyanga mjini, 0786487899 idara sec
 
Anayetaka kuja kwimba - mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97 au 0759 92 98 61
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote.IDARA YA MSINGI
ARUSHA
KILIMANJARO
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623////0784623525
 
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, Dc, moshi vijjn, hai, siha, kibaha, bagamoyo, chalize or dar es salaam idr mcng 0764910615.
 
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Back
Top Bottom