WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tudaidiane idara ya secondary.
 
Natafuta mwl wa kubadilshana naye(idara ya sekondari) aje muleba-kagera nije dar,pwani,morogoro au dodoma au singida manispaa! 0718922662
 
Mwalimu Idara ya Elimu Msingi Njoo wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe inapakana na Mkoa wa Mbeya, Mwalimu aje mkoa wa Mwanza wilaya yoyote ile. Ni PM nikuanganishe naye.
 
Karb Kusini pande za
Ruangwa Lindi,
nami nije
Morogoro,
Iringa,
Njombe,
Makambako,
Mbeya.
Idara Msingi
Cont:
0713 672 572
0757 21 22 10
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Kwa alioko pwani ama morogoro, tubadilishane vituo vya kazi .uje iringa kilolo mie nije pwan ama morogoro. (sec).
 
Back
Top Bottom