WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
natafuta Mwalimu anayehama au anayehamia wilaya ya ILEMELA kuna mambo nataka tusaidiane ambao wameshaanza mchakato contact 0769 737386.
 
njoo handeni Tanga nije.
kisarawe.
kibaha.
bagamoyo
mkuranga.
kinondoni
ilala
temeke
idara sec
0786475050
0715475050
 
Wanajamii Frms, Tunaamin Kuwa Ukiwa Mkoa Wa Nyumban Au Jlan Ckwamba Unaendeleza Ukabila La Haula! Bal N Kutengeneza Mazngira Ya Kuwa Karbu Na Home Na Pia Utafanya Kaz Kwa Uhuru ,ufanis Na Confort , NJOO URAMBO -TABORA NIJE MBEYA,IRINGA AU NJOMBE IDR SEKONDARI
 
joo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo Wilaya ya Geita nije Mwanza(Ilemela au Nyamagana),Dodoma manispaa,Pwani(Bagamoyo/Kibaha). 0766258499
 
Mwl yupo Bukoba/Kagera wilaya ya Kyerwa idara msingi anatafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi ili ahamie huo, mikoa anayohitaji kwenda no
Tabora
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Dodoma
Pwani
Dar es salaam
Mwanza
Katavi
Arusha

Mawasiliano ni
0689976850
 
Pia mwl mwingine yupo Mkoa wa Rukwa idara msingi anatafuta mwl wa kubadilishana ili ahamie mikoa ifuatayo
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Pwani

Mawasiliano
0689976850
 
Mwalimu idara sec yupo Mafia mjini
Anatafuta MWL wa kubadilishana nae kutoka sehemu zifuatazo
Dodoma mjini
na
Morogoro mjini

piga 0784345936
 
Back
Top Bottom