WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo iringa nije pwani ya kibaha, mkuranga, bagamoyo, kisarawe na rufiji.... Idara sec. Aliyetayari ani pm
 
Aliyetayari kuja iringa mimi niende pwan kibaha, mkuranga, rufiji, bagamoyo na kisarawe anipm walimu... Idara sekondari
 
Njoo Tanga-Korogwe nije Pwani Kibaha,Bagamoyo au Mkuranga,ni cheki kwa namba 0763 185798
Idara sekondary
 
Njoo halmashauri ya mji tarime (tarime high school) nije moshi manispaa 0766765231 /0783223216
 
Njoo halmashauri ya mji tarime (tarime high school)nije moshi manispaa 0766765231 /0783223216
 
Mwl yupo Kagera idara msingi anatafuta wa Kubadilishana na walimu mikoa ya
Tabora
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Dodoma
Pwani
Dar
0689976850
 
Watu wengi wanapenda kuhamia pwani na dar inamaana huko ndo kwao na kwa wale Wakina koku .mjuni . ishengoma na kataraiya mhh cjaona anayetaka kurudi kwao hawataki kabisa kama yupo mza ndo kwanza anataka aende dar. Kwao heri ndoa ife kuliko kurudi home
 
Njoo hai_Kilimanjaro nije mbeya wilaya za mbozi momba mbeya mjini idara sekondari
 
Njoo Newala (Mikumbi Sec) Nije Vikindu, Mkulanga au Kisarawe Mkoa wa Pwani nicheck 0688007371 au 0714217107
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Hi,kuna kaka yangu elimu msingi,anahitaji kubadilishana kituo cha kazi,yupo UKEREWE MWANZA,ABADILISHANE KUJA MWANZA NYAMAGANA/ILEMELA/MISUNGWI.
 
Back
Top Bottom