WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo iringa dc... Nije mkuranga, kisarawe, rufiji au kibaha.... Aliyetayari ani pm..... Au kwa 0718145989
 
Njoo mbeya wilaya ya rungwe nije tanga idara mwl msingi no 0752943198 au 0719678528
 
Kuna mwalimu yuko bukoba(v),idara sekondari anaomba abadlshane na watu wa simiyu,hasa wilaya yyte ya mkoa huo!ni pm nikiunge nae
 
Naetaka kwenda sengerema (secondary) kutoka arusha halmashauri yoyote ani PM
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo iringa mm nije morogoro vijijini, gairo, mvomero, dumila, pwani ya kibaha, mkuranga, rufiji, bagamoyo na kisarawe. Aliyetayari ani pm au 0653795210, 0764185359
 
Back
Top Bottom