WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Mwalimu yupo Kilolo Iringa anataka abadilishane na wa Iringa manispaa ni wa secondary
 
njoo MASWA MJINI nije MBEYA wilaya yoyote idara ya sekondari 0756945368
 
Mwalimu wa kubadilishana nayeMwalimu njoo muleba mm nije Dom, Moro, kibaha au DAR
 
Mm nipo muleba idara ya sekondari nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa ya Dodoma, morogoro, kibaha au DAR
Mwalimu njoo muleba
 
Mwl niko Kagera idara msingi ninatafuta wa kubadilishana kituo cha kazi na walimu walioko mikoa ya
Tabora
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Dodoma
Songea
Pwani
Dar
0689976850
 
Njoo tarime,nije mkoa wa katavi,idara ya sekondari,namba za simu 0767361392
 
njoo Arusha wilaya ya longido mie nije morogoro au iringa, idara ya sekondari, 0787 055538
 
njoo longido Arusha idara ya sekondari mie nije mbeya, iringa au morogoro 0787 055538 au 0713 386913
 
Nipo tabora manispaa natafuta mwalimu wakubadilishana naye kwa aliye Gairo au Morogoro manispaa...idara ya sekondari na sifa ya ziada uwe wa sayansi
 
Njoo nzega nije morogoro municipal au iringa town hata songea co mbaya
0783 849 385 idara secondary
 
Back
Top Bottom