WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Kisarawe Pwani mtu aje kaskazini (Kilimanjaro au Arusha)..ni Pm kwa mwenye uhitaji.
 
Njoo nachingwea lindi mimi nije moja wapo sehem zifuatazo mbeya vijijin au jiji, mbozi, mbarali, rungwe, tunduma, iringa, njombe, songea, kyela, idara ya msingi 0718294989. Aliye tayar ntachangia gharama za kusafirisha mizigo
 
Mwl niko Kagera idara msing ninatafuta wa kubadilishana na walimu mliopo mikoa ya
Tabora
Rukwa
Mbeya
Iringa
Njombe
Morogoro
Dodoma
Songea
Dar
Pwani
Katavi
0689976850
 
Anaetaka kwenda Tabora vjjn kutoka Ruvuma, Njombe, Iringa, Dodoma, Morogoro, na Mbeya Idara ya Msingi piga na. 0769507613.
 
njoo Arusha longido mie nije morogoro, iringa au mbeya, idara sekondari. 0787 055538 au 0713 386913.
 
njoo kilindi tanga nije kisarawe bagamoyo mbeya mjini rungwe kilosa moro mancipo kibaha muheza..mkinga...mbinga..songea..iringa...idara sekondari wasiliana kwa 0686 973854...
 
Mwlm kutoka Moshi mjini idara ya secondari anatafuta mwlm mwenzake wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka Arusha jiji
kwa mwlm aliye tayari ani pm.
 
Mwl nipo Rukwa idara msingi ninatafuta wa kubadilishana ili niende wilaya yoyote ktk mikoa ifuatayo
Mbeya
Njombe
Ruvuma
Iringa
Morogoro
Dar
Pwani

0689976850
 
Mwl yupo kasulu kigoma anatafuta wa kubadilishna ili aende
Rukwa
Mbeya
Iringa
Morogoro
 
Back
Top Bottom