WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
njoo kilwa lindi nnije mtwara ,arusha,maqnyara,babati,au nmororgoro.idara msingi alieko tayari ani PM
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
jamani mwalimu kazungu michael wa MASWA anahitaji mtu wa kubadilishana nayee tokaa MBEYA wilaya yoyote idara ya SEKONDARI 0756945368
 
Njoo arusha longido nije tanga, dar au kibaha idara secondary contact 0653761369,or 0782867189
 
Jamani mianyeny wagogo aliye tayali kuludi Dodoma manispaa Mimi niludi iringa manispaa au kalenga idara ya sec tuwasiliane 0753742074
 
Njoo halmashauri ya Moshi vijijini mie nije Nyamagana au Ilemela,Mwanza
(Secondary)
0788 386 428
 
Njoo tanga kilindi nije maeneo yafuatayo;-
pwani.....kibaha,bagamoyo,mkuranga,kisarawe
morogoro....kilosa,moro mjini,mvomero,gairo
mbeya...rungwe,mbeya mjini
ruvuma...songea ,mbinga
tanga...tanga jiji,muheza,lushoto,mkinga,korogwe
iringa...iringa municiple
idara sekondari tuwasiliane kwa 0686 973 854
 
Mwl ANGELILE idara msingi yupo MBEYA-RUNGWE anatafuta mwl mwenzake wakubalishana nae kutoka TANGA-HANDENI.
No:0685416473
 
Mwl idara msingi yupo MTWARA(V) anatafuta mwl mwenzake wakubadirishana nae kutoka DAR , TANGA au MOROGORO
No:0672275995 au 0682766596
 
Back
Top Bottom