WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natafuta wa kubadirisha nae aje Kongwa Dodoma me nije mbeya Mbozi idara ya elimu sekondari kwa mawasiliano 0714207843 ,0782207843
 
Mwal Msofe Nipo Mara Musoma ..Aliye tayari aje Musoma Niende Mikoa hii Arusha,manyara,kilimanjaro,Tanga,Morogoro...Huduma zote zinapatikana hapa...ni karibu na mjini. Stationaries,m pesa,tigo pesa,airtek money,hospital,DSTV, nyumba za wagen za kulala. Piga sasa 0767 900094
 
Mwl yuko Bukoba vijijini,anatafuta mtu wa mikoa ya shinyanga,simiyu au manyara!idara sekondari 0769027920/0656803210
 
Ni mwalimu nipo Dodoma wilaya ya Kongwa, tubadilishane nije Manyara. Idara Sekondari
 
NJOO TANGA KILINDI NIJE MIKOA IFUATAYO
MOROGORO:-Morogoro manispaa, mvomero,kilosa gairo..
Pwani:- bagamoyo,kibaha, mkuranga, kisarawe,
Iringa:- njombe, iringa manispaa
Ruvuma:- Mbinga, songea
Mbeya:-mbeya manisipaa,rungwe. IDARA SEKONDARI
wasiliana kwa 0686 973 854................NIWAKATI WA KURUDI NYUMBAN KUFANYA MAENDELEO...WA KILINDI TANGA KARIBUNI
 
MWALIMU yupo MASWA SIMIYU anataka kurudii MBEYA wilaya yoyote IDARA YA SEKONDARI 0756945368
 
Mwalimu MABUKUSELA BIMWANA WA BUHIGWE KIGOMA anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje mbinga au songea wewe uende buhigwe kigoma idara sec kama upo tayari wasilina nae kwa 0654984547...

Mwealimu komba sadock wa Tunduru anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi wewe uende tunduru yeye aje MBINGA AU SONGEA AU NAMTUMBO AU NYASA IDARA MSINGI WASILIANA NAE KWA 0685 912 514.

Mwalimu nyawade mwinda wa kilindi tanga anatafuta mtu wakubadilisha nae kituo cha kazi wewe uje tanga kilindi yeye aje MKOA WA SIMIYU wilaya yoyote. idara sekondar wasilana kwa 0683 067 511.........
 
NJOO TANGA KILINDI NIJE MIKOA IFUATAYO
MOROGORO:-Morogoro manispaa, mvomero,kilosa gairo..
Pwani:- bagamoyo,kibaha, mkuranga, kisarawe,
Iringa:- njombe, iringa manispaa
Ruvuma:- Mbinga, songea
Mbeya:-mbeya manisipaa,rungwe. IDARA SEKONDARI
wasiliana kwa 0686 973 854................NIWAKATI WA KURUDI NYUMBAN KUFANYA MAENDELEO...WA KILINDI TANGA KARIBUNI
 
Back
Top Bottom