WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl yupo bukoba vijijini,anatafuta mwl wa kubadlshana nae toka mikoa ya simiyu,shinyanga au manyara,idara sekondari,0769027920/0656803210
 
idara ya msingi
njoo kaliua tabora nije tanga
pwani
morogoro
Kilimanjaro
arusha
0715217190
 
NJOO KILINDI TANGA MWALIMU AJE SONGEA...MBINGA...IRINGA...NJOMBE AU MBEYA IDARA SEC WASILIANA KWA 0686 973 854
 
Njoo Mbulu Manyara mtu aje Moshi Mjini/vijijini idara ya sekondari, tuonane Pm kwa aliyetayari.
 
Back
Top Bottom