WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu anaetaka kuja singida iramba,mim nije wilaya yoyote kati ya mkoa wa Tanga,morogoro,Kilimanjaro,Arusha,pwani au Dar idara ya msingi,please tuwasiliane kwa namba 0655 299725
 
Njoo masasi mjini mtwara nije Iringa, makambako, njombe, mbeya idara sec nipm
 
Mie nafanya kazi kigoma mwandiga shule ya sekondari .nahitaji mtu kubadilishana nae kutokea Tabora manispaa namba za simu 0763637366 au 0714637366
 
Njoo Mkoa Simiyu wilaya Busega nije Kagera Missenyi
Whatsapp/call 0763737389 au 0684940271 Idara Shule ya Msingi
 
tamisemi wanatoa lini majina ya waliomba kuhama jamani. majibu jamani kwa 0789533675
 
Njoo Kilimanjaro kwenda town moshi 2500 tu na kwenda wilayan n 500 tu...Full umeme&maji.Nije kisarawe, mkuranga, kibaha.nichek kw inbox
 
Back
Top Bottom