JUDITH BALAMA
Member
- Jan 5, 2016
- 19
- 2
korogwe vijijini kama upo tayar tuwasiliane 0752737507Mwalimu anaetaka kuja iringa kutoka pwani ya kibaha, mkuranga, bagamoyo, kisarawe tuwasiliane hata wakutoka tanga muheza na korogwe mjini.... 0653795210
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
korogwe vijijini kama upo tayar tuwasiliane 0752737507Mwalimu anaetaka kuja iringa kutoka pwani ya kibaha, mkuranga, bagamoyo, kisarawe tuwasiliane hata wakutoka tanga muheza na korogwe mjini.... 0653795210
nipo korogwe vijijini kama utakuwa tayar 0752737507Mwalimu anaetaka kuja iringa kutoka pwani ya kibaha, mkuranga, bagamoyo, kisarawe tuwasiliane hata wakutoka tanga muheza na korogwe mjini.... 0653795210
Nataka nipate mjininipo korogwe vijijini kama utakuwa tayar 0752737507
Mwalimu anaetaka kuja singida iramba,mim nije wilaya yoyote kati ya
Njoo singida iramba kakaNjoo korogwe vijijini mimi nije iringa vijijini au iringa mjini
kwa mawasiliano:
0752737507
Mwanza wilaya gani?Kuna mwl yupo njombe makete alikuwa anataka kuja Mwanza
Idara secondariNjooo Manispaa ya Dodoma nije Manispaa ya iringa .0713432463
Njoo mafia mkoa wa pwani idar sec 0659425710Njoo Tanga wilaya ya Mkinga mi nije Pwani.l, Idara ya sekondari 0714984984.
dah,bahati yangu mbaya!mie niko bukoba vijijini,idara sekondari!acha nikutafutie wa kutoka uku!nawe ntafutie wa sekondariNjoo Mkoa Simiyu wilaya Busega nije Kagera Missenyi
Whatsapp/call 0763737389 au 0684940271 Idara Shule ya Msingi
Njoo mtwara manispaa,, Tuwasiliane 0652112026njoo halmashauri ya wilaya ya songea nije wilaya ya nanyumbu mtwara idara ya sekondari
TAMISEMI bado hawajatoa majina jamani?
Hakuna ajuae,ila kuna uhakika kuanzia kesho mpaka tarehe 22-01-2016tamisemi wanatoa lini majina ya waliomba kuhama jamani. majibu jamani kwa 0789533675