Upo Kagera sehemu gani?Mwl njoo Kagera nije Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo Kagera sehemu gani?Mwl njoo Kagera nije Mwanza.
poa,ni pm namba yako ya simu ili tuweze kuchat vzurikuna mtu ngoja nichek nae kama atakua interested
bukoba sehemu gani?poa,ni pm namba yako ya simu ili tuweze kuchat vzuri
Bukoba vijijini,tarafa ya rubale,kata ya izimbya,kijiji butulage,shule ya sekondari butulage!umeme,maji na huduma zote zpo!uko shule gani hapo iramba!?bukoba sehemu gani?
Tusaidiane kutafutiana walimu,mie ningependa kuja simiyu au mkoa wowote ulio karb na singida!kwahyo nkutafutie wa wa mtwara anayetaka kuja simiyu na mie unitafutie wa maswa anayetaka kuja bukobaAnayetaka tubadirishane kituo cha kazi yeye Aje Maswa Simiyu mimi nije Mtwara anitafute kupitia 0766849205, Idara SECONDARY
hapa kiomboi mjini, shule ipo mjini na huduma zote zinapatikanaBukoba vijijini,tarafa ya rubale,kata ya izimbya,kijiji butulage,shule ya sekondari butulage!umeme,maji na huduma zote zpo!uko shule gani hapo iramba!?
poahapa kiomboi mjini, shule ipo mjini na huduma zote zinapatikana
mimi nipo korogwe vijijini aisee kama upo tayari tuwasiliane -0752737507Mwalimu anaetaka kuja iringa kutoka pwani ya kibaha, mkuranga, bagamoyo, kisarawe tuwasiliane hata wakutoka tanga muheza na korogwe mjini.... 0653795210