Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwalimu msofe... nipo mara musoma.. kwa yeyote aliye tayari kubadilishana kituo cha kazi mimi niende Arusha ,kilimanjaro, Tanga, Morogoro... tuwasiliane... nilipo kuna huduma kama maji, hosp, usafiri, huduma za simu kama Tigo,Airtel, voda, halotel...ni karibu na musoma mjini..m pembezoni mwa ziwa victoria... namba 0767 900094...Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Natafuta mwl wa kubadilishana naye,yeye aje Halmashauri ya mji mdogo wa Ifakara mm nije Morogoro mjini.
Mm ni mwl wa sekondari nina miaka mitano kazini.
ALiye interested ani pm.
Embu ntafte 0763 240 278Daaaah malengo ni mbeya ndugu