WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Mimi mwalimu msofe... nipo mara musoma.. kwa yeyote aliye tayari kubadilishana kituo cha kazi mimi niende Arusha ,kilimanjaro, Tanga, Morogoro... tuwasiliane... nilipo kuna huduma kama maji, hosp, usafiri, huduma za simu kama Tigo,Airtel, voda, halotel...ni karibu na musoma mjini..m pembezoni mwa ziwa victoria... namba 0767 900094...
 
Mimi mwal msofe nipo mara musoma... yeyote aliye tayari tubadilishane kituo cha kazi tuwasiliane nipo idara msingi ... nipo mazingira mazuri sana... 0767 900094
 
Natafuta mwl wa kubadilishana naye,yeye aje Halmashauri ya mji mdogo wa Ifakara mm nije Morogoro mjini.
Mm ni mwl wa sekondari nina miaka mitano kazini.
ALiye interested ani pm.


Vuta subira, utapata tu mtu wa kubadilishana naye. Ifakara ni pazuri hasa hapo mjini.Huduma zote muhimu zinapatikana ikiwemo vyakula hasa ubwaba na samaki!! (ndipi, vitoga, kambale, mlamu kaliandili!!) ni shida!

Ni mji uliochangamka na kukua kwa kasi ya ajabu hasa baada ya wageni wengi kuuvamia. Kwa mtu anayependa kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na biashara hawezi kujiuliza mara mbili. mji huo ndio wenyewe.

ila kama ni nje ya mji basi kuna changamoto kiasi za miundombinu ya barabara hasa nyakati za masika na kusua kusua kwa umeme wa REA. Chini ya uongozi wa wabunge wa chadema najua hayo yote yatarekebishwa tu.
 
Mwalimu idara sekondari Tanga jij ,natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje tanga mjini mi niende dar es salaam manispaa yeyote, alietayari tuwasiliane kwa no 0713841863
 
Nahitaji mwl wakubadilishana nae kituo cha kazi.yeye aje morogoro ulanga mm niende tanga(muheza,korogwe)idara sec
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Kilimanjaro,
Arusha,
Manyara
Morogoro
Pwani
Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Back
Top Bottom