Peter Lewandowski
Member
- Jun 10, 2013
- 91
- 6
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo
Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)
Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)
Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)
Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)
Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)
Njoo Lushot
....mwalimu kama vp sogea karibu na nyumbani me niko sumbawanga 0763 240 278naitwa Ngwaya, ni Mwl wa shule ya sekondari mnazi halimashaur ya lushoto/tanga nahtaj kubadlshana ktuo cha kaz na Mwl yeyote, yy aje lushoto mm niende IRINGA au MBEYA, lakn irnga km atakuepo wa irnga ni bora zaid sababu nahtaj nwe karbu na familia yngu kwan tsd no ninayo, lakn kubadlshana ktuo cha kaz cha msng au kigezo kikubwa uwe na
chek no.karbun lushoto