WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Jamaa yangu yupo Bukoba mwalimu wa sekondari anatafuta wa kubadilishana naye kutoka wilaya ya Nzega au Tabora manispaa...mawasiliano yake ni 0712285689
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga - Rukwa au Mbeya Jiji au Vijijini(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007
 
Njoo LUDEWA MKOA WA NJOMBE
nije iringa mjini, makambako,
Mafinga,
Mbeya jijini
Nitafute 0753923520
 
Mwalimu Lawrence Gowela wa Kilindi-Tanga, anahitaji Mwalimu wa kubadilishana naye kutoka NYANDA ZA JUU KUSINI kama: Songea, Iringa, Mbeya Njombe, Ludewa, Rukwa na Mpanda. Naomba tuwasiliane kupitia; 0755 38 96 08 au 0716 20 53 57

Mimi napenda kuja Tanga home but nipo kigoma wilaya ya Kakonko kama utaridhia nicheki 0753533877
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga - Rukwa au Mbeya Jiji au Vijijini(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007

njoo kigoma MWL nije Lushoto
 
njoo lindi liwale mjini nije pwani au kilimanjaro wilaya yeyote
 
1. Mwalimu anaetaka kuja Tukuyu - Rungwe kutoka Dar es Salaam na Pwani tuwasiliane kwa namba 0717629898

2.Mwalimu anaetaka kuja Tukuyu - Rungwe kutoka Hai,Rombo,moshi mjini,vijijini Arumeru,Arusha jiji tuwasiliane kwa namba 0717629898
 
Nipo Milambo boys sec school, Tabora mjini nataka kubadilishana na Mwl. yeyote kutoka Masasi Mji, Lindi Manispaa au Mtwara Manispaa
Contact:0764 568 508
 
Njoo iringa nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha, rufiji 0653795210 0718145989 idara sekondari..... Usafiri juu yangu
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga - Rukwa au Mbeya Jiji au Vijijini(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007

GER,
Hebu nitafutie mtu wa kuja huku
Ruangwa Lindi,
mi nije popote kati ya
Iringa,
Njombe,
Makambako,
Mbeya {v} au
Mbeya {j}
Idara msingi
0713672572
0768672572
0654256397
 
Njoo Ruangwa, Lindi
nije popote
Iringa,
Njombe,
Makambako,
Mbeya {v} au
Mbeya {j}
Idara Msingi
0654256397
0713672572
0768672572
 
Back
Top Bottom