Wanaohitaji Kubadilishana Vituo
Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)
Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)
Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)
Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga - Rukwa au Mbeya Jiji au Vijijini(Idara ya sekondari)
Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)
Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)
Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007