WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa Manispaa, Mufindi,Njombe Mji au Makambako(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Njoo Katavi - Mlele nije Iringa au Njombe wilaya yeyote( Idara ya msingi)

Mawasiliano: 0654/0767-425007
 
Njoo handeni tanga nije
Mkuranga
Kibaha
Kisarawe
Rufiji
Temeke
Ilala
Kinondoni
Idara secondary
0786475050
0715475050
 
Nipo Singida Nahitaji kwenda Arusha kusogea karibu na Family....Iwe Arusha,,wilaya yoyote au walau hata Kilimanjaro pia wilaya yoyt....

Idara ni Sec #0769591585
 
NJOO PWANI MAFIA NIJE IRINGA, TANGA JJ, DAR, MORO, KIBAHA, KISALAWE, BAGAMOYO, msingi nicheki kwa 0712344257(sms)
 
Nipo Singida Nahitaji kwenda Arusha kusogea karibu na Family....

Iwe Arusha,,wilaya yoyote au walau hata Kilimanjaro pia wilaya yoyt....
Idara ni Sec #0769591585
 
Njoo Ruangwa Lindi nije
Iringa
Njombe
Makambako
Mbeya (v) au jiji.
Idara msingi
Cont: 0628686432
0625407079
0654256397
0713672572
 
Back
Top Bottom