WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nipo halmashauri ya wilaya ya Arusha (Arusha DC) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Tanga jiji idara ya sekondari.

0717743549.
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Njoo Arusha DC mm nije MOROGORO manispaa.idara sekondari.nafundisha ILBORU sec.0658221998,0764776655
 
Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa Manispaa, Mufindi,Njombe Mji au Makambako(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Njoo Katavi - Mlele nije Iringa au Njombe wilaya yeyote( Idara ya msingi)

Njoo Njombe Vijijini nije Iringa - Kilolo(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Mbeya(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654/0767-425007
 
Naomba uje wilaya ya kibondo iliyopo Kigoma.
Mimi nije mwanza, Dodoma. Idara ya msingi.
Kama uko tayari ni pm
 
Back
Top Bottom