Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namba bs weka au nipmnjoo pwani kisarawe nije tanga mjini
ama upo secondar tuwasiliane bsKama Upo sec Njoo Songea
weka namba bs au nipmnjoo pwani kisarawe nije tanga mjini
njo lushoto, mlalo mm niende Moro, bagamoyo, mkuranga au pwani popote! 0653963538
NIPO MBEYA HALMASHAURI YA RUNGWE, NATAFUTA WA KUBADILISHANA NAE AJE RUNGWE NIHAMIE ARUSHAWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo kagera-kyerwa nije Tabora idara ya msingiWazo la Leo
Am back:
Kama upo Moro town nitafute uhamie Tanga jiji mimi nije huko.sec.0713142568